Course Sentences/Swahili: Difference between revisions
Jump to navigation
Jump to search
pang>Panglossa Β |
m (1 revision imported) Β |
(No difference)
|
Latest revision as of 14:31, 14 January 2024
πΉπΏ Kiswahili π°πͺ
New Tree
Unit 1: Introduce yourself, ask how someone is
Unit 2: Express regret, talk about professions
Unit 3: Form the present tense, discuss chores
Unit 4: Use the possessive, ask for food
Unit 5: Tell what someone has, say what someone does
Unit 6: Name things at home, discuss technology
Unit 7: Talk about farming, use adjectives
Unit 8: Count objects, give commands
Unit 9: Describe clothing, ask questions
Unit 10: Talk about appearances, say what is happening
Unit 11: Refer to animals, discuss shopping
Unit 12: Form the past tense, give the time and date
Unit 13: Use the future tense, say what you have done
Unit 14: Name parts of the body
Unit 15: Tell where things are, describe the weather
Unit 16: Use adverbs, form direct objects
Unit 17: Discuss transportation, give reasons
Unit 18: Describe amounts, talk about emotions
Unit 19: Describe surroundings, discuss school
Unit 20: Name colors, talk about places
- Amefaulu vizuri.
- andalio la somo
- Arusha kuna baridi
- basi la kwenda Kenya
- Bendera ya Taifa
- Dar es salaam ni joto sana.
- Emilian anafundisha somo la Uraia.
- Emilian anatoka Arusha.
- Emilian hapendi somo la Hisabati
- Esther anafundisha somo la Hisabati.
- gari jekundu
- gari la kijivu
- Hiki ni kiatu.
- Hili ni daraja.
- Hivi ni vitabu vya mwalimu.
- Hizi ni kompyuta.
- Huu ni mfuko.
- Huyu ni baba yake.
- Ile ni nyumba yetu.
- Jaribu kujibu maswali haya.
- Jimbo la Florida ni zuri
- Jumlisha hamsini na arobaini.
- Jumlisha kumi na ishirini.
- kiatu cheupe
- kipindi cha kwanza
- kitanda cheupe
- kompyuta nyeusi
- Lile ni dirisha zuri.
- magari mekundu
- magari ya kijivu
- maua mekundu
- Mjini
- mkeka wa rangi nzuri
- mlango mwekundu
- Mna matunda kikapuni.
- Mnatoka Kenya.
- Mwalimu atakuja kipindi cha tatu.
- Mwalimu mkuu anafundisha Kingereza.
- Mwalimu mkuu anatoka Dodoma.
- Mwalimu wa zamu ni Emilian.
- ndege mweusi
- ndege nyeusi
- ndege wa buluu
- ndege weusi
- ndege ya buluu
- ndege za buluu
- Ninafundisha somo la jiografia.
- Ninafundisha somo la Kemia.
- Ninapenda Dar es Salaam.
- Ninapenda Florida.
- Ninapenda kutembelea Dar es Salaam.
- Ninapenda kwenda Marekani.
- Ninapenda rangi ya bluu.
- Ninapenda rangi ya njano.
- Ninatoka Kenya, kwa hiyo mimi ni Mkenya.
- Ninatoka nchi ya Marekani, kwa hivyo mimi ni Mmarekani.
- Rangi ninayoipenda zaidi ni buluu.
- Rangi ninayoipenda zaidi ni nyekundu.
- Rehema anapenda sketi ya zambarau.
- Rehema ni mkuu wa shule.
- shati jeupe
- shati la bluu
- shati la zambarau
- Simu inatoka Marekani.
- Sketi ya kijani ni mbaya.
- soksi za kijivu
- somo la jiografia
- Somo la Jiografia ni zuri.
- somo la Kingereza
- Somo la Sayansi ni zuri.
- Somo la uraia
- Tunafanya mtihani wa somo la baiolojia.
- Tunatoka sokoni sasa.
- Tutatoka mjini kwetu kesho.
- Ule ni mlango.
- Umetoka shuleni.
- viatu vya njano
- Vile ni visu vikali.
- vitanda vyeupe
- Wanafunzi wamefaulu mtihani.
- Wanafunzi wanapenda somo la uraia.
- wanyama weusi
- Watakuja Arusha.
- Yale ni majani.
- Yale ni matunda matamu.
- Yuko nyumbani kwangu?
- Yule ni mgeni wangu.
- Zamu yako.
- Zile ni funguo.
Say what you will do, discuss medicine
- Akinunua viazi atalipa.
- Akipika nitakula.
- Akisoma utaandika.
- Akizima taa mtalala.
- Nikija nitapika chakula.
- Nikipata pesa nitanunua vitabu.
- Nikipika chakula nitakula.
- Nikisoma nitafaulu mtihani.
- Ukijifunza Kiswahili utaweza kuzungumza na Watanzania.
- Ukisoma sana utafaulu!
- Ukisoma utafaulu.
Old Tree
Intro
Greetings
Greetings 2
People
Present
Chores
M/Mi
Food
Have
Present 2
Ki/Vi
N/N
Ji/Ma
Adjectives
Numbers
Commands
Clothing
Questions
U/N
Present 3
Animals
Shopping
Past
Time
Future
Past 2
Body
Pass. Verb
Locatives
- Esther yupo mbele ya Rehema.
- Rehema yupo katikati ya wanafunzi.
- Mwalimu yumo ndani.
- nyuma ya mlango
- Kuna wanyama wakali.
- Sahani zipo juu ya meza.
- Emilian yupo Dodoma.
- Kaa nyuma ya nyumba.
- Choo kiko wapi?
- Nimo chumbani.
- ng'ambo ya daraja
- Mtoto yupo chini ya mti.
- Kaa kati ya Esther na Emilian.
- mtoto wako
- kando ya nyumba
- Mna embe jikoni.
- Anasimama nje.
Weather
- Ninapenda hali ya hewa ya Tanzania.
- Sipendi joto.
- upepo mzuri
- Kipupwe ni kizuri.
- Rashidi ana baridi.
- Inanyesha.
- Hali ya hewa ni baridi.
- Inanyesha kila siku.
- upepo mkali
- Wakulima wanapenda masika.
- mawingu na jua
- Ninaogopa radi.
- Radi si nzuri.
- radi na ngurumo
- Angalia mawingu mazuri!
- Ninaogopa ngurumo.
- Kiangazi kuna joto kali.
- Wanacheza juu ya theluji.
- Vuli ni mwezi wa kumi na mwezi wa kumi na moja.
- Kiangazi kuna joto.
Adv+Conj
- Ataenda dukani kwa sababu anahitaji sukari.
- Kwa kweli sipendi uchafu.
- Sikuzote!
- Anapenda sukari mno.
- Kwa bahati walikuja.
- Nilikula mapema.
- andika kwa kifupi
- Sema polepole tafadhali!
- Kwa kawaida tunakuja shuleni kila siku.
- Unaandika vizuri.
- Sema kiswahili tu.
- Tembea taratibu.
- Tembeeni polepole.
- Wanafunzi wanasoma upesi.
- Tutacheza halafu tutaenda nyumbani.
Obj. Inf.
- Wameikata miti.
- Mnatuhitaji.
- Umeyanunua sokoni.
- Esther ananipenda.
- Tumezipika.
- Ataileta simu yake.
- Mmeutumia mkasi.
- Ninakupenda.
- Anawasaidieni kila siku.
- Nitalinunua embe kubwa.
- Tutajiokoa!
- Ninapapenda hapa.
- Ninawaita.
- Wasiilete.
- Mafundi walizijenga nyumba.
- Nitakipata kiatu kipya wapi?
- Tunamwogopa mdudu.
- Utavinunua lini?
Transport
- stesheni ya basi
- Tulipanda baiskeli.
- Dereva anaendesha gari.
- baiskeli moja mpya
- usafiri wa barabara
- uwanja wa ndege
- Kituo cha basi ni kikubwa.
- pikipiki yetu
- Ninanunua tiketi ya basi.
- Walishuka.
Prep+Conj
- Alilala licha ya kelele.
- Ama utakaa au utaenda.
- Amekuja Esther badala ya mwalimu.
- Anavaa nguo toka Tanzania.
- Basi, siwezi!
- Bei yako ni sawasawa
- Cheza kisha nenda shuleni.
- Emilian ni mrefu kuliko Esther.
- Hakuna wala papai wala embe.
- Hata wewe?
- ila wewe
- Ingawaje alilala alisikia.
- Jibu ama swali la kwanza au la pili.
- Kabla ya kufika Tanzania nilikuwa mwanafunzi.
- kabla ya shule
- katika chumba
- katika kitabu
- Kwa ajili ya kusoma tutaenda shuleni.
- Kwa maana ya nini?
- Licha ya juisi tulikunywa chai pia.
- Licha ya kuimba alicheza.
- mdudu katika embe
- Moja na moja sawasawa na mbili.
- Nilienda peke yangu.
- Nilikunywa kahawa badala ya bia.
- Niliona zaidi ya kuku kumi.
- Ninaamka kisha ninaoga.
- Ninapenda chai lakini bila sukari.
- Ninapenda chakula toka Zanzibar.
- Nitaoga baada ya kula.
- Njooni ila Rehema.
- Papai kwa chakula cha asubuhi.
- Sikuja kwa ajili ya mvua.
- Sili nyama ya ng'ombe wala nyama ya mbuzi.
- Tulisema kwamba tutapika.
- Tunahitaji mzigo toka Tanzania.
- Tutaenda kwa maana ya kusoma.
- Tutanunua ingawa ni ghali.
- Utakuja wewe kisha Esther atakuja.
- Utakuwa peke yako.
- vitabu mbalimbali
- wali kwa kuku
- Walinunua viatu mbalimbali.
- Wamesema kwamba hawapendi.
Adj. 2
- Chakula kingi
- mtoto yeyote
- Mtu mwingine tafadhali.
- mwili wote
- Ninahitaji kula chakula chote.
- Ninahitaji nguo nyingi.
- Ninaomba kisu kingine.
- Ninaweza kunywa maji mengi.
- Nitanunua viatu vyovyote.
- Nyumba nyingine ni nzuri.
- Pweza ana miguu mingi.
- Tutaenda popote.
Emotions
- Amechoka.
- Amehuzunika.
- Mmeshtuka.
- Mmesikitika.
- Nimekasirika.
- Tumehuzunika.
- Tumekasirika.
- Tumelewa.
- Umechelewa.
- Umesikitika.
- Wamechelewa.
- Wamechoka.
- Wamefadhaika.
- Wamefadhaika.
- Wamefurahi.
- Wamelewa.
Demonst.
- Hawa ni mama zao.
- Hawa ni walimu wetu.
- Hawa ni wanafunzi.
- Haya ni machungwa.
- Haya ni maembe matamu.
- Haya ni matunda.
- Hicho ni chakula.
- Hii ni kamera yangu.
- Hii ni kaptura yangu.
- Hiki ni chakula kitamu.
- Hiki ni kisu.
- Hiki ni kitabu.
- Hili ni daraja.
- Hili ni dirisha.
- Hili ni tunda.
- Hivi ni vitabu vya mwalimu.
- Hivi ni viti.
- Hizi ni kompyuta.
- Hizi ni nyumba zao.
- Hizi ni simu mpya.
- Huu ni mfuko.
- Huu ni mkasi.
- Huu ni mkono.
- Huyu ni baba yake.
- Huyu ni bibi yake Emilian.
- Huyu ni mwalimu wangu.
- Ile ni nyumba yetu.
- Ile ni zawadi ya Esther.
- Jaribu kujibu maswali haya.
- Kile ni chakula.
- Kile ni choo cha wanaume.
- Kile ni kijiko kichafu.
- Lile ni dirisha zuri.
- Lile ni jembe.
- Lile ni tunda tamu.
- Mtazihitaji mboga hizi.
- Mto huu ni mrefu.
- Tunayapenda maparachichi haya.
- Tutaitumia miavuli hii.
- Ule ni mche.
- Ule ni mlango.
- Ule ni mto.
- Yule ni mgeni wangu.
- Yule ni mtoto wangu.
- Yule ni mwalimu.
- Yule ni mwanafunzi.
School
Colors
Places
Cond.
- Akinunua viazi atalipa.
- Akipika nitakula.
- Akisoma utaandika.
- Akizima taa mtalala.
- Embe lisipoiva sitalila.
- Ikiwa ukijifunza Kiswahili utaweza kuzungumza na Watanzania.
- Ikiwa utaenda Dar es Salaam utaona bahari.
- Ikiwa watakuja tutanunua zawadi.
- Kama nikija nitapika chakula.
- Kama tukiamka tutaenda shuleni.
- Kama ukinywa pombe hutacheza muziki.
- Kama ukisoma utafaulu.
- Kisu kisipofaa kitakaa jikoni.
- Mkienda Dar es salaam mtaona bahari.
- Mkienda Tanzania mtaona Watanzania.
- Mkija nyumbani mtaoga.
- Nikipata pesa nitanunua vitabu.
- Nikipika chakula nitakula.
- Nikisoma nitafaulu mtihani.
- Nyumba zikiwa tayari tutahamia.
- Pasipofaa hatutalala.
- Tukiamka tutaenda kanisani.
- Tukija Tanzania tutasikiliza nyimbo za Kiswahili.
- Tukisoma Kiswahili tutafurahi.
- Tutaenda popote.
- Ukijifunza Kiswahili utaweza kuzungumza na Watanzania.
- Ukinywa pombe utalewa.
- Wakienda Kenya wataleta zawadi.
- Wakioga watapendeza.