Category Archives: Kiswahili

Kiswahili ni lugha ya Kibantu yenye misamiati mingi ya Kiarabu (30%), lakini sasa ya Kiingereza pia (10%), inayozungumzwa katika eneo kubwa la Afrika ya Mashariki.

Lugha hii ina utajiri mkubwa wa misamiati, misemo, methali, mashairi, mafumbo, vitendawili na nyimbo. Kiswahili hutumika kufundishia shuleni na kuna vitabu vingi vilivyotungwa kwa kutumia lugha hiyo, vikiwa pamoja na vile vya hadithi, hekaya au riwaya.

Kiswahili – 2017-08-30

Match the columns:

KiswahiliEnglish
Wana matunda. They have a table.
Huna mipira. Today we have a guest.
Hawana wazazi. They have fruit.
Hatuna nyama ya mbuzi. You don’t have balls.
Wana meza. We don’t have goat meat.
Leo tuna mgeni. They don’t have parents.
Correct answers:
KiswahiliEnglish
Wana matunda. They have fruit.
Huna mipira. You don’t have balls.
Hawana wazazi. They don’t have parents.
Hatuna nyama ya mbuzi. We don’t have goat meat.
Wana meza. They have a table.
Leo tuna mgeni.Today we have a guest.
->Click here to check your answers!<-

Kiswahili – 2017-08-25

Match the columns:

KiswahiliEnglish
Ana maembe. You have oranges.
Una machungwa. I don’t have a baby.
Hana watoto. He doesn’t have children.
Sina mtoto. I don’t have a garden.
Hatuna ndizi leo. He has mangoes.
Sina bustani. We don’t have bananas today.
Correct answers:
KiswahiliEnglish
Ana maembe. He has mangoes.
Una machungwa. You have oranges.
Hana watoto. He doesn’t have children.
Sina mtoto. I don’t have a baby.
Hatuna ndizi leo. We don’t have bananas today.
Sina bustani.I don’t have a garden.
->Click here to check your answers!<-

Kiswahili – 2017-08-20

Match the columns:

KiswahiliEnglish
Wana chakula. You don’t have nails.
Hawana wanafunzi. He doesn’t have spears.
Huna misumari. We don’t have fruit.
Hana mikuki. They have food.
Hatuna matunda. I don’t have food.
Sina chakula. They don’t have students.
Correct answers:
KiswahiliEnglish
Wana chakula. They have food.
Hawana wanafunzi. They don’t have students.
Huna misumari. You don’t have nails.
Hana mikuki. He doesn’t have spears.
Hatuna matunda. We don’t have fruit.
Sina chakula. I don’t have food.
->Click here to check your answers!<-

Kiswahili – 2016-10-23

From Duolingo:

  • Huyu ni mwalimu wangu wa Kiswahili.This is my Swahili teacher.
  • Hawa ni walimu wetu wa Kiswahili.These are our Kiswahili teachers.
  • Nimeshamwambia yule!I already told him/her.
  • Unataka viti vile?Do you want those chairs?
  • Maembe haya yameharibika.Those mangoes have spoiled.
  • Ninahitaji kutumia ufunguo huu?Do I need to use this key?
  • Alipoteza barua zile zamani.He lost those letters a long time ago.
  • Huyu ni mtoto. This is a child.
  • Mto huu ni mrefu.This river is long.
  • Hiki ni chakula kitamu.This is delicious food.
  • Hii ni simu.This is a phone.
  • Hili ni tunda.This is a fruit.
  • Hii ni picha yake.This is her picture.
  • Huu ni mkono.This is an arm.
  • Ile ni nyumba yetu.That is our house.
  • Yule ni dada yake.That is her sister.
  • Ule ni mche.That is a seedling.
  • Lile ni shati zuri.That is a good shirt.
  • Kile ni kijiko kichafu.That is a dirty spoon.
  • Ule ni mlango.That is a door.
  • Lile ni jembe.That is a hoe.

Kiswahili – 2016-09-30

From Duolingo:

  • Tumelewa.We are drunk.
  • Wamechoka.They are tired.
  • Nimekasirika sana kwa sababu mwizi ameiba pesa zangu.I am very angry because a thief stole my money.
  • Umefurahi sana kupata zawadi nzuri.You are very happy to get a nice gift.
  • Amehuzunika mno kwa sababu mama yake alifariki jana.He is very bereaved because his mother died yesterday.
  • Bob hajafurahi kwa sababu amekula ugali baridi.Bob is not happy because he ate cold stiff porridge.
  • Dora na Bob hawajashangaa kuwaona twiga Mikumi.Dora and Bob were not shocked to see giraffes in Mikumi.
  • Umelewa.You are drunk.
  • Umehuzunika.You are grieved.
  • Kwa nini umechoka?Why are you tired?
  • UmefurahiYou are happy
  • UmefadhaikaYou are depressed
  • WameshtukaThey are startled
  • UmekasirikaYou are angry
  • TumesikitikaWe are disappointed
  • UmechelewaYou are late

Kiswahili – 2016-08-15

From Duolingo:

  • Nitakwenda mjini kwa baiskeli. I will go to town by bicycle.
  • Nililala kwa nusu saa.I slept for half an hour.
  • Nitapiga simu kwa mama.I will phone (to) my mother.
  • Tulifua nguo kwa sabuni.We washed clothes with soap.
  • Waliishi nyumbani kwa mjomba wao. They lived at their uncle’s home.
  • Watakufa kwa njaa. They will die of hunger.
  • Anatoka kwa jirani. She is coming from the neighbor’s house.
  • Wamekuja peke yao.They have come alone.
  • Ingawa nilienda sikuwaona.Even though I went, I did not see them.
  • Nilienda peke yangu.I went by myself.
  • Utakuwa peke yako.You will be alone.
  • Anasoma peke yake.He is reading alone.
  • Andika kila siku ila Jumapili.Write every day except Sunday.
  • Wamekuja peke yao. – They have come alone.

Kiswahili – 2016-07-30

From Duolingo:

  • Wana chakula.They have food.
  • Hawana wanafunzi.They don’t have students.
  • Huna misumari.You don’t have nails.
  • Hana mikuki.He doesn’t have spears.
  • Hatuna matunda.We don’t have fruit.
  • Sina chakula.I don’t have food.
  • Ana maembe.He has mangoes.
  • Una machungwa.You have oranges.
  • Hana watoto.He doesn’t have children.
  • Sina mtoto.I don’t have a baby.
  • Hatuna ndizi leo.We don’t have bananas today.
  • Wana matunda.They have fruit.
  • Huna mipira.You don’t have balls.
  • Hawana wazazi.They don’t have parents.
  • Hatuna nyama ya mbuzi.We don’t have goat meat.
  • Wana meza.They have a table.