Category Archives: Kiswahili

Kiswahili ni lugha ya Kibantu yenye misamiati mingi ya Kiarabu (30%), lakini sasa ya Kiingereza pia (10%), inayozungumzwa katika eneo kubwa la Afrika ya Mashariki.

Lugha hii ina utajiri mkubwa wa misamiati, misemo, methali, mashairi, mafumbo, vitendawili na nyimbo. Kiswahili hutumika kufundishia shuleni na kuna vitabu vingi vilivyotungwa kwa kutumia lugha hiyo, vikiwa pamoja na vile vya hadithi, hekaya au riwaya.

Kiswahili – 2016-07-25

From Duolingo:

  • ninaI have
  • unayou have
  • ana – she/he has
  • tuna – we have
  • mnayou (pl) have
  • wanathey have
  • Sasa nina kalamu moja.Now I have one pen.
  • Sasa una bustani.Now you have a garden.
  • Ana malaria.She/He has malaria.
  • Leo tuna mgeni.Today we have a guest.
  • Mna shida?Do you (plural) have a problem?
  • Wana maembe mengi!They have a lot of mangoes!
  • Sina bustani.I don’t have a garden.
  • Huna shida.You don’t have a problem.
  • Hana virusi.She/He doesn’t have a virus.
  • Hatuna malaria. We don’t have malaria.
  • Hamna kalamu.You (pl) don’t have a pen.
  • Hawana chakula.They don’t have food.

 

Kiswahili – 2016-07-17

From Duolingo:

  • ng’ombe cows
  • nguruwepigs
  • walicooked rice
  • kahawa na maziwacoffee & milk
  • viazi potatoes
  • Wewe si nyanya!You are not a tomato! / You are not a grandmother!
  • nyama ya ng’ombebeef
  • nyama ya kukuchicken (meat)
  • Tunakula pilipili hoho.We eat green peppers.
  • Wanakula nyama ya mbuzi na matunda.They eat goat meat & fruit.
  • Vitunguu si vitunguu saumu! Onions are not garlic!
  • karoticarrot
  • pilipili hoho na vitunguugreen peppers & onions
  • Unakula viazi?Do you eat potatoes?
  • Ninapenda wali.I love rice.
  • Chipsi na nyanya, tafadhali.Chips & tomatoes, please.
  • Anakunywa kahawa kila asubuhi.He drinks coffee every morning.
  • maembemangoes
  • Ninaomba wali.I would like cooked rice.

 

 

Kiswahili – 2016-07-10

From Duolingo:

  • mikukispears
  • misumarinails
  • miavuliumbrellas
  • mnyororochain
  • misikitimosques
  • Mti si msitu.A tree is not a forest.
  • Wanakula mizizi.They eat roots.
  • mzigo wangumy baggage
  • mtumbwi wa babadad’s canoe
  • Mtumbwi ni mzuri. The canoe is good.
  • Ninaenda misituni. I go to the forests.
  • mtumbwi wangu my canoe
  • mikuki yao their spears
  • mnyororo wake his chain
  • mnyororo mrefu a long chain
  • misumari yangu my nails
  • misikiti yetuour mosques

 

 

Kiswahili – 2016-06-21

From Duolingo:

  • takatakagarbage
  • dirishawindow
  • motofire
  • Ninakula na sahani.I eat on a plate,
  • Ninaosha ndoo leo asubuhi.I am washing the bucket this morning.
  • Juma anasafisha bafu leo.Juma is cleaning the bathroom today.
  • Ninafua nguo na sabuni.I wash the clothes with soap.
  • Jamila anafagia choo. Jamila is sweeping the bathroom.
  • Faridi anaosha sufuria.Faridi washes the pots.
  • Wanaosha ndoo na sabuni.They wash the bucket with soap.
  • Tunapika na moto.We cook with fire.
  • Takataka ni mbaya.Garbage is bad.
  • Sipendi takataka.I don’t like garbage.
  • Unaosha vyombo? Are you washing the dishes?

 

Kiswahili – 2016-06-06

From Duolingo:

  • Ninakimbia.I am running.
  • Mnajaribu.You are testing.
  • kujibuto answer
  • Unakimbia.You are running.
  • kutembeato walk
  • kufikirito think
  • Anakimbia. He is running.
  • tenaagain
  • Unajibu.You answer.
  • Ninafikiri.I think.
  • Unatembea.You are walking.
  • Wanafikiri.They are thinking.
  • Hupiki.You are not cooking.
  • Hawaandiki na hawasomi.They are not writing and they are not studying.
  • Wanafika.They arrive.
  • Wanakimbia.They are running.
  • Wanafunzi wangu hawapendi kucheza.My students don’t like to dance.

 

 

Swahili – 2016-05-29

From Duolingo:

  • Mtoto mbaya!Bad kid!
  • Mtoto wakoyour kid
  • mhandisiengineer
  • Saidi ni mvulana.Saidi is a boy.
  • mpishicook, chef
  • wapishicooks, chefs
  • wavulana wazuri – good boys
  • Mama ni mpishi mzuri.Mom is a good cook.
  • mwalimuteacher
  • Ni wanene?Are they large?
  • Mwalimu ni mwanaume.The teacher is a man.
  • Wangu ni wanene.Mine are large.
  • Ninyi ni wapishi wazuri.You are good cooks.
  • Mwalimu ni mwanamke mtanzania.The teacher is a Tanzanian woman.
  • Baba ni mhandisi.Dad is an engineer.
  • mwalimu mbayaa bad teacher
  • daktari wakoyour teacher