From Duolingo:
- ng’ombe – cows
- nguruwe – pigs
- wali – cooked rice
- kahawa na maziwa – coffee & milk
- viazi – potatoes
- Wewe si nyanya! – You are not a tomato! / You are not a grandmother!
- nyama ya ng’ombe – beef
- nyama ya kuku – chicken (meat)
- Tunakula pilipili hoho. – We eat green peppers.
- Wanakula nyama ya mbuzi na matunda. – They eat goat meat & fruit.
- Vitunguu si vitunguu saumu! – Onions are not garlic!
- karoti – carrot
- pilipili hoho na vitunguu – green peppers & onions
- Unakula viazi? – Do you eat potatoes?
- Ninapenda wali. – I love rice.
- Chipsi na nyanya, tafadhali. – Chips & tomatoes, please.
- Anakunywa kahawa kila asubuhi. – He drinks coffee every morning.
- maembe – mangoes
- Ninaomba wali. – I would like cooked rice.
From Duolingo:
- takataka – garbage
- dirisha – window
- moto – fire
- Ninakula na sahani. – I eat on a plate,
- Ninaosha ndoo leo asubuhi. – I am washing the bucket this morning.
- Juma anasafisha bafu leo. – Juma is cleaning the bathroom today.
- Ninafua nguo na sabuni. – I wash the clothes with soap.
- Jamila anafagia choo. – Jamila is sweeping the bathroom.
- Faridi anaosha sufuria. – Faridi washes the pots.
- Wanaosha ndoo na sabuni. – They wash the bucket with soap.
- Tunapika na moto. – We cook with fire.
- Takataka ni mbaya. – Garbage is bad.
- Sipendi takataka. – I don’t like garbage.
- Unaosha vyombo? – Are you washing the dishes?
From Duolingo:
- Asante. Thanks.
- Baadaye. – Later. / See you later.
- Asubuhi njema. – Godo morning.
- Jioni njema. – Good evening.
- Shikamoo. – I respect you.
- Tutaonana baadaye. – We will see each other later.
- Mchana mwema. – Good afternoon.
- Siku njema. – Good day.
Learn all the Languages!